Malaki 4:1
Malaki 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema: “Tazama, siku yaja, nayo inawaka kama tanuri. Wenye kiburi na waovu wote watatupwa humo na kuteketea kama mabua makavu; watateketea kabisa pasibaki hata alama.
Shirikisha
Soma Malaki 4Malaki 4:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana, angalieni, siku ile inakuja, inawaka kama tanuru; na watu wote wenye kiburi, nao wote watendao uovu, watakuwa makapi; na siku ile inayokuja itawateketeza, asema BWANA wa majeshi; hata haitawaachia shina wala tawi.
Shirikisha
Soma Malaki 4