Mathayo 10:32-33
Mathayo 10:32-33 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kila mtu anayekiri hadharani kwamba yeye ni wangu, mimi pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni. Lakini yeyote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:32-33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni. Bali mtu yeyote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 10