Mathayo 10:39
Mathayo 10:39 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayeyashikilia maisha yake, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.
Shirikisha
Soma Mathayo 10