Mathayo 11:27
Mathayo 11:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na yeyote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:27 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Nimekabidhiwa vitu vyote na Baba yangu: Hakuna mtu amjuaye Mwana ila Baba, wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana na yeyote ambaye Mwana anapenda kumfunulia.
Shirikisha
Soma Mathayo 11