Mathayo 11:29
Mathayo 11:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:29 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 11