Mathayo 12:31
Mathayo 12:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo, nawaambieni, watu watasamehewa dhambi na kufuru zao zote, lakini hawatasamehewa dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa.
Shirikisha
Soma Mathayo 12