Mathayo 12:33
Mathayo 12:33 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake yatakuwa mazuri; ufanyeni kuwa mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. Mti hujulikana kwa matunda yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya na matunda yake mabaya, kwa maana kwa matunda yake mti hutambulikana.
Shirikisha
Soma Mathayo 12