Mathayo 12:35
Mathayo 12:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwema hutoa mambo mema katika hazina yake njema; na mtu mbaya hutoa mambo mabaya katika hazina yake mbaya.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema; na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya.
Shirikisha
Soma Mathayo 12