Mathayo 12:36-37
Mathayo 12:36-37 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, nawaambieni, siku ya hukumu watu watapaswa kujibu juu ya kila neno lisilofaa wanalosema. Maana kwa maneno yako utakubaliwa kuwa mwadilifu, na kwa maneno yako utahukumiwa kuwa na hatia.”
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:36-37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 12