Mathayo 13:19
Mathayo 13:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeyote asikiaye neno juu ya ufalme wa Mungu bila kuelewa, ni kama zile mbegu zilizoanguka njiani; yule Mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu yeyote anaposikia neno la Ufalme naye asilielewe, yule mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake. Hii ndiyo ile mbegu iliyopandwa kando ya njia.
Shirikisha
Soma Mathayo 13