Mathayo 13:23
Mathayo 13:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Ile mbegu iliyopandwa katika udongo mzuri ni mfano wa mtu asikiaye neno hilo na kuelewa, naye huzaa matunda; mmoja mia, mwingine sitini na mwingine thelathini.”
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini ile mbegu iliyopandwa kwenye udongo mzuri ni yule mtu ambaye hulisikia neno na kulielewa. Naye hakika huzaa matunda, akizaa mara mia, au mara sitini, au mara thelathini ya mbegu iliyopandwa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 13