Mathayo 13:30
Mathayo 13:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Acheni vikue pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji: Kusanyeni kwanza magugu mkayafunge mafungumafungu ya kuchomwa. Lakini ngano ikusanyeni mkaiweke ghalani mwangu.’”
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Viacheni vyote vikue hadi wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni mkaiweke ghalani mwangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 13