Mathayo 14:20
Mathayo 14:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakala wote wakashiba; wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Shirikisha
Soma Mathayo 14