Mathayo 14:23
Mathayo 14:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alipokwisha kuwaaga makutano, alipanda mlimani faraghani, kwenda kuomba. Na kulipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Baada ya kuwaaga, akaenda zake mlimani peke yake kuomba. Jioni ilipofika, Yesu alikuwa huko peke yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 14