Mathayo 14:28-29
Mathayo 14:28-29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:28-29 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Petro akamjibu, “Bwana, ikiwa ni wewe, niambie nije kwako nikitembea juu ya maji.” Yesu akamwambia, “Njoo.” Basi Petro akatoka kwenye chombo, akatembea juu ya maji kumwelekea Yesu.
Shirikisha
Soma Mathayo 14