Mathayo 14:30
Mathayo 14:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:30 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana, niokoe!”
Shirikisha
Soma Mathayo 14