Mathayo 14:30-31
Mathayo 14:30-31 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!” Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, “Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?”
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:30-31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe. Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
Shirikisha
Soma Mathayo 14