Mathayo 14:33
Mathayo 14:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Wote waliokuwa ndani ya mashua walimsujudia, wakasema, “Hakika wewe ni Mwana wa Mungu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waliokuwamo ndani ya mashua wakamsujudia, wakisema, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 14