Mathayo 15:8-9
Mathayo 15:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:8-9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. Huniabudu bure; nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’ ”
Shirikisha
Soma Mathayo 15