Mathayo 16:15-16
Mathayo 16:15-16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”
Shirikisha
Soma Mathayo 16