Mathayo 16:17
Mathayo 16:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona, kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 16