Mathayo 16:18
Mathayo 16:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nami nakuambia: Wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda.
Shirikisha
Soma Mathayo 16