Mathayo 19:14
Mathayo 19:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yesu akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wa wale walio kama hawa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akasema, “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19