Mathayo 19:26
Mathayo 19:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawatazama, akasema, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini mambo yote yanawezekana kwa Mungu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akawakazia macho, akawaambia, Kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana.
Shirikisha
Soma Mathayo 19