Mathayo 19:5 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 19:5 BHN (Biblia Habari Njema)
na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’
Shirikisha
Mathayo 19 BHNMathayo 19:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Shirikisha
Mathayo 19 SUVMathayo 19:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Shirikisha
Mathayo 19 SRUVMathayo 19:5 NEN (Neno)
naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?
Shirikisha
Mathayo 19 NEN