Mathayo 19:9
Mathayo 19:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati naye akaoa mke mwingine, anazini. Naye amwoaye yule mwanamke aliyeachwa pia anazini.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19