Mathayo 20:26
Mathayo 20:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini haitakuwa hivyo kwenu; bali mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu, na awe mtumishi wenu
Shirikisha
Soma Mathayo 20