Mathayo 21:42
Mathayo 21:42 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Bwana ndiye alitenda jambo hili, nalo ni la ajabu machoni petu’?
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:42 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Yesu akawaambia, “Je, hamkusoma jambo hili katika Maandiko Matakatifu? ‘Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi. Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana kwetu!’
Shirikisha
Soma Mathayo 21