Mathayo 21:43
Mathayo 21:43 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Kwa hiyo ninawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wengine wawezao kuzaa matunda yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:43 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa hiyo nawaambieni, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wa mataifa mengine wenye kutoa matunda yake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 21