Mathayo 23:28
Mathayo 23:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Hali kadhalika nyinyi mnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafiki na uovu.
Shirikisha
Soma Mathayo 23Mathayo 23:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, bali ndani mmejaa unafiki na maasi.
Shirikisha
Soma Mathayo 23