Mathayo 23:4
Mathayo 23:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wao hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuigusa kwa kidole chao.
Shirikisha
Soma Mathayo 23Mathayo 23:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole wapate kuibeba.
Shirikisha
Soma Mathayo 23