Mathayo 23:5 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 23:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Wao hufanya matendo yao yote ili watu wawaone. Huvaa tepe zenye maandishi ya sheria juu ya panda la uso na mikononi na hupanua pindo za makoti yao.
Shirikisha
Mathayo 23 BHNMathayo 23:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena matendo yao yote huyatenda ili kutazamwa na watu; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao
Shirikisha
Mathayo 23 SUVMathayo 23:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Tena matendo yao yote huyatenda ili kutazamwa na watu; kwa kuwa hupanua hirizi zao, huongeza matamvua yao
Shirikisha
Mathayo 23 SRUVMathayo 23:5 NEN (Neno)
“Wao hutenda mambo yao yote ili waonekane na watu. Hupanua vikasha vyao vyenye maandiko ya sheria na kurefusha matamvua ya mavazi yao.
Shirikisha
Mathayo 23 NEN