Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 24:12 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 24:12 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.

Shirikisha
Mathayo 24 BHN

Mathayo 24:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.

Shirikisha
Mathayo 24 SUV

Mathayo 24:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapunguka.

Shirikisha
Mathayo 24 SRUV

Mathayo 24:12 NEN (Neno)

Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu, upendo wa watu wengi utapoa

Shirikisha
Mathayo 24 NEN