Mathayo 24:12-13
Mathayo 24:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:12-13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa, lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Shirikisha
Soma Mathayo 24