Mathayo 24:44
Mathayo 24:44 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, nanyi pia muwe tayari, kwa maana Mwana wa Mtu atakuja saa msiyoitazamia.”
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:44 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyotazamia Mwana wa Adamu yuaja.
Shirikisha
Soma Mathayo 24