Mathayo 24:5
Mathayo 24:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo,’ nao watawadanganya wengi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24