Mathayo 24:6
Mathayo 24:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtasikia juu ya vita na fununu za vita; lakini msifadhaike, maana hayo hayana budi kutokea, lakini mwisho wenyewe ungali bado.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtasikia habari za vita na tetesi za vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
Shirikisha
Soma Mathayo 24