Mathayo 24:7-8
Mathayo 24:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali. Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Taifa moja litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. Hapa na pale patakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi. Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.
Shirikisha
Soma Mathayo 24