Mathayo 25:23
Mathayo 25:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
Shirikisha
Soma Mathayo 25Mathayo 25:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana wake akamwambia, ‘Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo, nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.’
Shirikisha
Soma Mathayo 25