Mathayo 25:29
Mathayo 25:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 25Mathayo 25:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kila mwenye kitu atapewa, na kuongezewa tele; lakini asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.
Shirikisha
Soma Mathayo 25