Mathayo 25:35
Mathayo 25:35 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha
Shirikisha
Soma Mathayo 25Mathayo 25:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha
Shirikisha
Soma Mathayo 25