Mathayo 26:26
Mathayo 26:26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Walipokuwa wanakula, Yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipokuwa wanakula, Yesu akatwaa mkate, akamshukuru Mungu, akaumega, akawapa wanafunzi wake akisema, “Twaeni mle; huu ni mwili wangu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26