Mathayo 26:28
Mathayo 26:28 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:28 Biblia Habari Njema (BHN)
maana hii ni damu yangu inayothibitisha agano, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi ili kuwaondolea dhambi.
Shirikisha
Soma Mathayo 26