Mathayo 26:29
Mathayo 26:29 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini ninawaambia, tangu sasa sitakunywa tena katika uzao huu wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya pamoja nanyi katika Ufalme wa Baba yangu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26