Mathayo 26:52
Mathayo 26:52 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:52 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga.
Shirikisha
Soma Mathayo 26