Mathayo 26:75
Mathayo 26:75 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo Petro akakumbuka lile neno Yesu alilokuwa amesema: “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:75 Biblia Habari Njema (BHN)
Petro akakumbuka maneno aliyoambiwa na Yesu: “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Basi, akatoka nje, akalia sana.
Shirikisha
Soma Mathayo 26