Mathayo 28:14 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 28:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.”
Shirikisha
Mathayo 28 BHNMathayo 28:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
Shirikisha
Mathayo 28 SUVMathayo 28:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na jambo hili likisikika kwa mtawala, sisi tutasema naye, nanyi hamtapata shida.
Shirikisha
Mathayo 28 SRUVMathayo 28:14 NEN (Neno)
Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.”
Shirikisha
Mathayo 28 NEN