Mathayo 28:20
Mathayo 28:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”
Shirikisha
Soma Mathayo 28