Mathayo 3:11
Mathayo 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonesha mmetubu. Lakini anayekuja baada yangu ana nguvu kuliko mimi, nami sistahili hata kubeba viatu vyake. Yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Shirikisha
Soma Mathayo 3Mathayo 3:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Shirikisha
Soma Mathayo 3