Mathayo 3:17
Mathayo 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ndiye Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye.”
Shirikisha
Soma Mathayo 3Mathayo 3:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na tazama, sauti kutoka mbinguni ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
Shirikisha
Soma Mathayo 3